Kuna kuoga na "Chumvi" kwanza kuondoa mikosi uliyo nayo. Tia chumvi kidogo kwenye maji kama vijiko viwili inatosha. Cha muhimu ni manuizo yako. tumia mdomo wako kuomba kuondosha maovu na kuvutia yalio mema kwako.
Chapili, uta chukua maua ya rangi tofauti except white color. Utaya roweka katika maji na pia tia asali kidogo vijiko viwili sawa. Sasa kama utaoga usiku bath ya salt, asubui utamalizia na bath ya maua. Siku utayo koga maua na asali utafukiza udi na utafungua all doors and windows to let the negative energy kutoka njee. pia pendelea kutoa sadaka kwa watoto yatima au masikini njia yani.
Dua ya kusoma:
1: A' UDHU BILLAHI MIN AS-SHAYTAN IR RAJEEM. (* 185)
2: BISMILLAHI R-RAHMANI RAHEEM. ASSALAATU WASSALAAMU ALAYKA YA RASULALLAH SALLAL LAAHU TAALA ALAYKI WA AALIHI WA SALLAM. (* 11)
3:YAA MUZZIL (* 75)
Maombolezo:
Eweee Mola wangu nakuomba univushe yote ya lio mabaya kutoka kwenye mwili wangu, akili yangu, mali yangu, watoto wangu, wazazi wangu, ndungu zangu, and so on. Mola wangu kama nilitupiwa nguvu au madawa ya kishilikina naomba msaada wako leo kuya vua yote. kama maji na chumvi vilivyo kuwa na nguvu vinitakase leo. kama nilitupiwa uchawi, kama nililishwa uchawi, kama umefukiwa uchawi, leo navifukua na kuvisafirisha na maji. Kama chumvi ilivyokuwa aiwezi rogeka basi nami nisirogeke. Na atakaye nijalibu basi vimrudiye aliye viunda.
Maua, kama maua fresh yanavyo pendwa na kunawili basi na mimi ninawili na kuvutia kwenye macho ya watu. Kama asali inavyo pendwa nami nipendeke na kila mtu. Amin labila Alamini
No comments:
Post a Comment