I choose to be happy and healthy in my life. Happiness is a pre-direction that an individual makes... Life moves on...Be Smart, and Move UP. God gave you a Personal Destiny. Grab what is yours, and work hard to be Successful....Keep smiling despite of your situation. "KIGOMA KWA BIBI MZAA MAMA" 
SPREAD LOVE NOT HATE WORDS PEACE, LOVE, & RESPECT ".
TANZANI'ANO AMERICAN 
Email: Shalwa2009@gmail.com 
Tell: 1-240-752-4170

Total Pageviews

YALATIFF, I PUT MY TRUST IN YOU AND SEEK YOUR PROTECTION FROM USELESS KNOWLEDGE AND ANY EVIL EYES.
Support America Small Businesses.
Our company's goal is to design clothes which are both functional for the wearer and also aesthetically pleasing. Being a small, uprising company does not stop us from providing our customer with quality merchandise. We design outfits for a wide range such as evening gowns, party dresses, work clothes, daily wear, and diracs/traditional outfits. Additionally we make customized outfits, so if someone has a particular design or fabric they want, just bring it and we will sew it for you at a set price ranging from $80.00 and up. We hope you will find our products useful and that we can help make you the center of attention at your next event!:) 

CLICK THE LINK BELOW TO PURCHASE MY AFFORDABLE, QUALITY, AND ELEGANT WOMEN DRESSES
www.SalhaSaleh.USDJ. MOE AND DJ. DAVID
THE BEST WAMANYEMA WA'TZA DJS IN WASHINGTON D.C/ VA/MD
FOR MORE INFORM CONTACT: 
TELL 202-285-9861

10/13/17

DUA NIMETUMI KWENYE MTANDO NAMI NAITANGAZA KAMA ILIVYO IJUMAA MUBARAKNAKUOMBA USOME DUA HIO USIKOSE:

YA ALLAH YA RAHMAN
NAJIOMBEA NAFSI YANGU NA FAMILIA YANGU YOOOTE, WATOTO WANGU, MAJIRANI ZANGU, KILA MUISLAM NA UMATI MUHAMMAD (S.A.W)

YA AZZAH WA JALLAH, YA RAHMAN, YA RAHIM,
TUJALIE MAISHA YENYE KHERI NA BARKA NA SISI
YA ALLAH TUJALIE TUWE WEPESI KWENYE KUFANYA IBADA ZAKO TUKUFU
UTUJALIE IBADA MAKBUL
UTUJALIE YA ALLAH TUWE WENYE KUPATA PEPO YAKO KWA REHMA ZAKO
YA RABB TUJALIE TUWE WENYE KUPENDA KUTOA SADAKA ZA SIRI NA DHAHIRI
TUJALIE YA KARIM TUWE WENYE KUPENDANA NA KUPENDELEANA TUWE WENYE KUFUZU FI-DUNIA WA FIL-KABRI WA FIL-JANAAT
YA RABB TUJAALIE TUWE MINAL FAIZIN,
YA RAUF, YA WADUD, TUONGOZEE WATOTO WETU WAWE WATOTO WEMA WENYE MISIMAMO YA LAILAH HAILAH ALLAH MUHAMMAD RASULLUH ALLAH
YA MALIK TUNAKUOMBA KWA MAJINA YAKO MATUKUFU MAZURI, WAREHEMU MAITI ZETU UWAJALIE MAKABURI YAO YAWE MINRAUDHATIL JANAT
YA RABB WASAMEHE MAITI ZETU NA SISI WAJAWAKO
YA RABB HAKIKA ADHABU ZAKO NI KALI NA SISI YA MALIK MULUK HATUZIWEZI ADHABU ZAKO, TUONDOLEE ADHABU ZA DUNIA ZA KABURI, ZA YAUMUL KIAMA NA UTUPE HUSNUL KHATIM
YA RABB TUPE MWISHO MWEMA
YA ALLAH TUJALIA VIFO VYA SHAHADA NA IBADA,
TUJALIE TUFE HALI YA KUA NI WAISLAM  
UTUPE SHAHADA MUTAKABAL
YA RAHIM, YA KUDUS TUTAKABALIE DUA ZETU
WAISLAM UTUNUSURU KILA MAHALI KATIKA DUNIA YAKO YA ALLAH
AMEEN AMEEN AMEEN
THUMA AMEEN YA RAHMAN YA RAHIM

UKISHA SOMA SAMBAZA DUA HII ILI NA WENGINE WAISOME WAITIKIE AMEEN HUENDA IKAMFIKIA KIPENZI CHA ALLAH NA IKAWA SABABU YA KUTAKABALIWA DUA HII.
YA ALLAH TUJALIE SOTE TUTAKAO SOMA DUA HII TUWE VIPENZI VYAKO NA IWE SABABU YA DUA HII KUWA MAKBUL
 ALLAHUMA AMEEN YA RABB.

No comments: