Ijuma Mubaraka ahaadi ni deni. Sija sahau kuhusu dua ya nguvu za uhume kwa walio athilika na shiriki ya kuvunja nguvu za uhume soon panapo majaaliwa.
Kutumia surat Yasin katika tibaa labda kumsomea mgonjwa au kuomba lolote la kheri. Utasoma Surat Yasini yote. Utapofika katika neno "Mubiin" uta soma Surat "FAATIHAH×1". then utaendelea kusoma. Ukifika kwenye aya zifatazo utarudia kwa idadi zifatazo.
Aya ya 9 ×3
Aya ya 38 ×14
Aya ya 58 ×7
Aya ya 81 × 12
Aya ya 82 × 100
Kisha utamalizia kuisoma.
No comments:
Post a Comment