Majina ya Watanzania Waliofungwa Nje ya nchi Baada ya Kukamatwa na Madawa ya Kulevya
12:19 4 [disqus]
Majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali duniani kwa makosa ya madawa ya kulevya ‘unga’.
Baadhi ya watuhumuiwa wa kiume waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’.
Hivi karibuni, serikali ilikiri kukamatwa kwa Wabongo hao nje ya nchi na kusema baadhi yao wanasubiri kunyongwa baada ya kupatikana na hatia. Hata hivyo, serikali ilificha majina ya watu hao.
Ifuatayo ni orodha ya majina hayo na maeneo wanayotoka nchini Tanzania. Kwenye mabano ni hukumu zao.
Abdallah Ally Rashid Mbonde Fredue, Dar (miaka 15 jela), Mzia David Michael, Dar (22), Rashid Mzonge, Magomeni, Dar (maisha), Salum Jumbe Pigigi (maisha), Ramadhan Iddi Juma, Kinondoni, Dar (7), Saleh Happy Hambona, Dar (18), Michael Dalasi Taraja, Temeke, Dar (19) na Juma Omar Mgeni (kunyongwa).
Wengine ni Masumbuko Salum Hassan, Dar (kunyongwa), Luka Joseph Urio, Dar (maisha), Masome Frorian Anthony, Dar (maisha), Salum Mohammed Kitupura, Dar (kunyongwa), Begge Hemed Ahmed, Tanga (15) na Mwanjati James Simon, Dar (maisha).
Wengine ni Mohammed Musa Mohammed, Dar (maisha), Omalla Donald Nyowino, Dar (15), Yahya Ally Seif, Kinondoni, Dar (maisha), Chande Mohammed Chande, Kinondoni, Dar (maisha), John James Amandus, Kinondoni, Dar (kunyongwa), Bantulaki Isihaka Ally, Tanga (kunyongwa), Zungiza Mohamed Ally, Dar (kunyongwa), Rashid Bakari Mzonge, Kimara Suka, Dar (maisha), Katija Mikidadi Mende ,Gerezani/ Ilala, Dar (maisha), Shame Shame Udai, Dar (maisha) na Mlenzi Mangala Hamisi, Dar (maisha).
Baadhi ya watuhumuiwa wa kike waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’. Farida Sarboko Makarani, Zanzibar (kunyongwa), Adam Hariri Mohammed, Magomeni, Dar (18), Said Mfaume Said, hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Mohammed Bakari Mkemi, haijatajwa wa wapi (kunyongwa), ,Mariam Ramadhan Mahimbo hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Julieth Jonathan Jaspher, haikusemwa anakotoka (kunyongwa), Halifa Matumla Ally, haijaandikwa atokako (kunyongwa), Rajabu Salum Mwanyenza, haijaandikwa atokako (kunyongwa), Ismail Mohammed Rajabu Mapusa, Magomeni Dar (maisha) na Hamisi Kombo Ally (kunyongwa).
Waliopo mbaroni ambao pia hawajaandikwa watokako ni: Sephu Abdulrahman, Alfredy Thomas Singini, Lawrence Mbogoni Oni, Mohammed Ibrahimu Kilima, Wilfred Casmir Mushi, Shakira Ahmed Mumba, Jackline Benedict, Rajabu Rashidi Mshare, John Peter Martin, Abdallah Mwalimu Mbaruk, Rashid Mzee Mrisho, Juma Ismail Nayopa, Tsakiris Costa Achelis na Faith Michael Kabambe.
Wengine waliohukumiwa ni Bakari Badi Omari Mneko, Sinza, Dar (17), Masomi Thomas Joseph, Dar (17), Abdallah Iddi Ally, Tabata, Dar (17), Kondo Ally Mohammed (20), Mohammed Abubakar Nazzir (24), Abdallah Anwar Abasi (24), Makuti Al- Jaribu Hassan, Kilwa, Lindi (25), Abdallah Iddi Athuman (24), Mnyamani Hamad Ally, Tanga (22), Mtalu Rajabu Ally Rajabu, Kariakoo, Dar (17) na Shughuli Kibaya Bakari, Tanga (8).
Wengine ni Mfaume Omar Ng’anzi Msuya, Kariakoo, Dar (21), Steven Robert Onay (9), Omar Juma Mang’enge (8), Steven Simon Kanul, Dar (8), Iddi Haji Fumo, Unguja (9) na Seleman Hamisi, Unguja (8).
Pia wapo Athuman Hassan Nash, Magomeni, Dar (8), Seleman Hussein Msimbe (8), Abdallah Farid Twalib, Dar (17), Salim Ally Amani, haikutajwa anakotoka (22), Calist Wilson Mosha, Arusha (18) na Saleh Abdul Omar, Kigogo, Dar (21).
Wengine ni Bugingo Sweetbert Rwezaura, Kijitonyama, Dar (21), Mohammed Omari Ally, Zanzibar (19), Sayula Rashid Paul, hajatajwa atokako (16), Koshuma Geofrey Gabriel, Kijitonyama, Dar (30) na Salim Mrisho Hussein, Tanga (21).
Orodha inaendelea kama ifuatavyo: Riziki Riziki Hamduni, Kinondoni, Dar (19), Bashir Rajabu Kafune, Magomeni, Dar (19), Kharim Mohammed Omar, Ilala, Dar (19), Abubakar Abdul Ligalwike, Kinondoni, Dar (8).
Wengine waliofungwa na miaka yao katika mabano ni Pendo Ernest Kessy, Ilala, Dar (9), Anna Kiula, Kij
No comments:
Post a Comment