Mtu aliyenipa dua hii kwenye njozi mwanaume kava shuka jekundu na jeusi. Anazungumza kiswahili fasaa. Mkono wake wa kulia alikuwa kashika tasibii na navuta uladi. Kaniambia maadui wako awakombali nawe. Vuta uladi huu kuwa' destroy your enemies and evil spirits ..
Now hiyo ilikuwa ni ndoto. Asubuhi nilipoamka nikafanya nilivyo oteshwa. Cha kushangaza usiku wa Alhamisi nimeota nyoka mweusi mlefu mwembamba kanizingira shingo. Nyoka huyu alikuwa anataka kuniuma usoni. Nilikamata shingo ya nyoka na mkuno wangu wa kushoto nikamkaba nyoka mpaka kumuua. Nimeaka asubui nimekuta kio changu cha dressing table yangu kimepasuriwa. Picha hiyo hapo juu. Please ufanyiyeni kazi uladi huo sijui maana yake ni nini?..miye lugha ya Kiarabu kaputi hahahaaaa. By the way leo naenda file "Divorce yangu". Belive me sitaki chochote kutoka kwake. Uyu mtu amelea watoto wangu na anaendelea kuwalea watoto wangu unconditional. We are very good friends lakini tabia zetu azikuendana. Kwa miaka kadha amekataa ku' sign divorce documents. Well I have very good lawyer mwanamke wa Ki' Jamaica. LOL "KIGOMA" kwa bibi mzamama.
love and Peace always
ULANI NILIOPEWA KWENYE NJOZI:
"YAA KARRAMAT, YAA SAIRU" * 1,000
No comments:
Post a Comment