Salaam, nashukuru kwa maombi ya dua ya kusaidia mtoto kuacha kukojoa kitandani. Kwanza kabisa mimi si mganga bali nilifundishwa dua kidogo za tiba na Mahalim wangu wa chuo kutoka Ngazija Mahali Mohammed, na Mahali Saleh kutoka Pangani, Tanga. Mwenyezi Mungu awalaze maala pema peponi Amen. Mengine naota pia kuna wajomba za kutoka Kigoma walinipa zawadi ya vitabu walivyo andika, lakini kuna Mahali kati ya hao wajomba zangu sita yeye si Mmanyema katokea Zanzibar. Aliniita pepeni akani kabidhi kitabu kidogo akaniambia "Nakuamini nakukabidhi kitabu hiki kawasaidiye waja wa Mwenyezi Mungu na acha ukorofi na kutukana watu".
Dua ya kuwacha kukojoa kitandani ima mtoto au mtu mzima:
kwanza chukua mafuta ya Zaituni au Olive Oil. Mafuta hayo utayasomea rukia..sura zifatazo, kisha utampaka mtoto au ata kama mtu mzima kwa muda wa siku 7-21 usiku kabla kulala.
Rukia ya kusomea mafuta:
soma sura ya 7 aya ya 118-122,
sura ya 20 aya ya 65-70
sura ya 55 aya ya 33- 36
Furthermore, una weza tumia mayuta hayo pia kama mtoto akipata degedege ata mtu mzima mpake mwili mzima.

No comments:
Post a Comment