Salaam, Ijumaa Mubakara
nawatakia kila la kheri katika siku ya leo. Wengi wetu atuendi Misikini mpaka siku ya Friday. My dear najua mishuhuliko ya uhaibuni lani tusiji sahau my kakaz and my dadaz..Uwa naona haya nikiona wenzangu time ya Sala kazini wana kwenda kwenye gari zao kusali. We are four Muslim sisters out of wafanyakazi 56 katika building. Mwenye Mungu atusamehe na atuzidishiye Iman katika dini na kumuabudu. Dua ya leo ni kuangamiza mashetani ili ni tatizo kubwa kwa wengi wetu. I am not going to explain in full detail about my past life. I wrote about it previously but, anyway let's get into it. Mimi binafsi nilitibiwa na Sheikh Umudi (R.I.P), alinisomea rukia, surat ninazo kumbuka ilikuwa (Yasin *3) na (surat bakara aya ya 255 ) siku kumbuki alisoma mara ngapi sura hii. Ilikuwa siku ya Ijuma (Friday) nilirudishwa nyumba nimefungwa kamba za mikono na miguu.Siku hiyo Marehemu dada ya bibi yangu Bi' Khadija Salum Abdurabi (R.I.P) alianza kunisomea (surat Nasi), akaomba akaitwe Sheikh Umudi babu wa Kishihiri. Alinisomea na kunitoa Majini manne, (Jini Maiti, Jini Makata, Jini Subiyani, Jini Maimuni), Mwenzi Mungu ajaliye kila la kheri aliyo yafanya hayo. Mimi nilisha safisha nia namuachia yeye na Mungu wake. malipo hapa hapa duniani kesho akhera twenda hesabiwa. Anyway baada ya tukio hili sikuchukua mwezi moja na nusu nikapata safari kuja America Alhamdulillah Mwenyezi Mungu Mkubwa.
Recite this Dua to destroy evil spirits:
1:Surat 01 katika masakhafu. "FAATIHAH"..Ukianza na "BISMILLAHIR-RAHMAANIR-RA-HIIM".
(soma mara..11)
2: Sura ya 02 katika masakhafu aya ya 255.."KURSIYYU"(soma mara..11)
3: Sura "QUL HU-WALLAAHU AHAD"(soma mara..11)
4: Sura "QUL 'A-UUZU BI-RABBIN-NAASI"(soma mara..11)
5: Sura "QUL 'A-UUZU BI-RABBIL FALAQ" (soma mara..11)
(LA- ILAHA-ILA-ALLAHU WAH-DAHU - LA SHARIKA LAH,
LAHU AL-MULK WA LAHU AL-HAMDU,
WA HUWA 'ALA KULI SHAY'IN QADIR *100)
(YAA KARIMATT, YAA SAIRU *1,000)
KUMTOA MTU JINI:
tuko mbali huku unaweza tumia majani ya vitungu thaumu au kama unayo Habasoda ya uga au mavi ya tembo, au mvuje. Utamfusha aliye usudika. Uku ukisoma dua hiyo mara 1,000.
Nawatakiyeni kila la Kheri, msipende wambia watu mambo nini mnataka fanya katika maisha yenu atakama ni unafikiri rafikiyo kipenzi punguza domo ha ha haha.. Ama pindi ukikutana na mtoto wa mwenzio anaokota makopo au mlevi mmbwaa, au whatever usimcheke muombe dua takabali dua.

No comments:
Post a Comment