I choose to be happy and healthy in my life. Happiness is a pre-direction that an individual makes... Life moves on...Be Smart, and Move UP. God gave you a Personal Destiny. Grab what is yours, and work hard to be Successful....Keep smiling despite of your situation. "KIGOMA KWA BIBI MZAA MAMA" 
SPREAD LOVE NOT HATE WORDS PEACE, LOVE, & RESPECT ".
TANZANI'ANO AMERICAN 
Email: Shalwa2009@gmail.com 
Tell: 1-240-752-4170

Total Pageviews

YALATIFF, I PUT MY TRUST IN YOU AND SEEK YOUR PROTECTION FROM USELESS KNOWLEDGE AND ANY EVIL EYES.




Support America Small Businesses.
Our company's goal is to design clothes which are both functional for the wearer and also aesthetically pleasing. Being a small, uprising company does not stop us from providing our customer with quality merchandise. We design outfits for a wide range such as evening gowns, party dresses, work clothes, daily wear, and diracs/traditional outfits. Additionally we make customized outfits, so if someone has a particular design or fabric they want, just bring it and we will sew it for you at a set price ranging from $80.00 and up. We hope you will find our products useful and that we can help make you the center of attention at your next event!:) 

CLICK THE LINK BELOW TO PURCHASE MY AFFORDABLE, QUALITY, AND ELEGANT WOMEN DRESSES
www.SalhaSaleh.US



DJ. MOE AND DJ. DAVID
THE BEST WAMANYEMA WA'TZA DJS IN WASHINGTON D.C/ VA/MD
FOR MORE INFORM CONTACT: 
TELL 202-285-9861

4/15/18

ALHAMDULILLAH MWENYEZI MUNGU ANILINDIYE MAMA ZANGU MAPACHA NA AWAPE UMLI NA AFAYA NJEMA

Ma' jaa Rehema Gama and her sister Ma'jaa Mama Gama
Alhamdulilah, akuna kitu kikubwa dunia kama furaha ya wazazi. Pia dua ya wazazi kwa watoto ni silaha kubwa duniani.
Majaaliwa na kutokujaaliwa hiyo ni mipango ya Ya Jalali, yeye ndiye anayetupangia position hapa dunia. But, speed recovering inatoka kwenye dua za wazazi. Na dua ya mtoto au watoto kwa wazazi ni baraka kwa mtoto na wazazi.
  











Mwanangu Bob Saleh, ombi lake apewe ahulau siku moja Msikitini Adhini Dar-es-salaam, Tanzania. You're wish my son ilisha poelewa and granted kwa baraka zake Yaa Jabari utapata nafasi hiyo ya kuadhini Msikiti siku ya Ijuma. Ishallah. Sijui kwa nini kuna msikiti ambao alikwenda akaomba kuadhini wakampiga rogo rogo nyingi utazani kawaomba kazi. Na ndio msikiti anao salaa zake zote. Mwanangu hupenda kuisoma Surat Ayatu Kursi, siku hiyo alisoma sura hiyo kesha akende zake kulala. Majabu ya Mwezi Mungu nyumba iliwaka moto ya vumba kumi na saba, watu walikata tamaa kuwa kila aliye kuwa ndani ya nyumba kuwa alisha kufa. Moto ulikuwa umepamba kweli kweli. Alhamdulilah, mdogo wake Bob Saleh, kwa jina anaitwa Muhsin alikuwa akilia kwa uchungu akijalibu kuingia kwenye nyumba iliyo iliyokuwa ina waka moto. Watu walikuwa wanamzuia asiende ndani ya nyumba lakini mtoto aliwazidi nguvu, aliingia ndani ya nyumba hiyo moshi umetanda moto umepamba Muhsin akatoka na kaka yake Bob Saleh, Mdogo wake wakike Bi' Salha na Mama yake mlezi. Muhsin aliokoa maisha ya watu watatu siku hiyo. alitoka nao awakuwa na ata kovu kwenye mwili. Nilipomuliza mwanangu Bob Saleh alinijibu, Shangazi sili kubwa uwa napenda kusoma Surat Ayatu Kursi kabla kulala, nayeye anadai alikuwa kwenye usingizi mzito wa akusikia chochote mpaka mdogo wake Muhsin alipomwamsha watoke kwenye nyumba, pia akaenda chumba cha pili kumwamsha mama melezi wake na kidada chake Bi, Salha. Alhamdulilah Mwenyezi Mungu amlindiye wana wake kaka yangu ya Hassan. Ahadulillah Nyumba ilijengeka tena kwa muda wa miezi sita, alichokipanga Mwenyezi Mungu kwa mja wake akuna atakaye tengu au chukua pasina maridhawa yake Yaa Jalali. Mwenyezi amlaze pema peponi Mama Muhsin, aliuitikia wito wa Mola wake baada ya mwezi mmoja kuzaliwa Muhsin. Police walipo mkamata aliye choma nyumba. Ma' Gama aliwambia wamuachiye, Mungu ndiye aliye mpa na ndiye aliyechukuwa. Kila sababu lazima ipatikane chanzo. Mungu amewaipusha wajuu zangu wakatoka salama nami namsamehe wamuache muhusika.








No comments: