Faida ya surat "Jinn" kama kuna mtu ambaye has come under the (EVIL INFLUENCE) of "AASAID" ya aina yote. Una weza msaidia au aweza jisaidi kwa kuisoma sura hii mara saba "one should revise the Surat Seven Times a day for seven days continuously and blow hewa kwa mgonjwa. Au kama wajisomea mwenyewe uji puliziye viganja vya mikono yote miwili kisha jifute mwili wako wote. Inshallah mgonjwa ata be free from from such an evil influence. Na kama kunamtu anataka kumu overpower the "JINN" hisome sura hii mara mia moja. Kama uwezi soma basi iandike katika hiyo (TARASIMU YA NUMBER) mara 1,700 basi utamu overpower "JINN" na akipewa mfungwa "TARASIMU" hii ata toka jela. Ikiwekwa sehemu ya ukame wa mvua, tuseme kwenye kiwanja mvua ya ajabu itanyesha.
MSAADA KUPUNGUZA MAONEVU YA WAZIMA NYOTA ZA WATU.
No comments:
Post a Comment