Ndoto ninaendesha gari kwenye barabara pembezoni kuna bahari then hiyo barabara naona kibao kinasema Ocean Road. Naendelea kuendesha gari mpaka rami ilipo ishia barabara sasa ikawa udongo mwenkundu ya akuna rami ya barabara. Nikafika sehemu sauti ya mwanaume ikasema geuza gari karaka. Yes nika turn around kuendesha kidogo upande wa kuria kuna kama kambi na ulinzi wa wanajeshi Wa'kitanzani. Sauti ikaniambia stop then kata kulia ungiye kwenye kambi hiyo. Lakini nilivo fanya hiyo wanajeshi wawili walifungua geti lakini walinikataria kuingia ndani kwamba nani alinituma kufika kule? Je nina document yoyote ambayo ni waonyeshe kuingia ndani ya kambi hiyo....
(sijui hii ndoto ina maana gani?..nimestuka saa 2:30 usiku nilichofanya nimetia tohara nika sali raka mbili za maombi Mwenyezi Mungu atulinde na vizazi vetu na wazazi wetu..La kama kuna mtu spiritual anaomba msaada Yaa Jaabari nakukabizi wewe ifanye kazi yako. Watiye zohari wahusika uwape mfarakono watafunwe na makundi ya nyuki wakari wasijulikane wametokea wapi, wagogwe na nyoka wenye sumu kari wasitibike, wahusika nguo zao spiritual ziwake moyo wazivue wakimbiye utupu majaani. Wanyotoe nywere zao na mavuzi yao hadharani walishane. Mola wangu ujawai kuniangusha katika sala zangu majibu yako uwa ni ya haraka. Naomba jibu langu katika 72 hours Ummati Muhammad (saw) ushuhudiye dunia nzima. Amin thuma Amin
dua nilizo soma juu ya ndoto hii:
1: ("YAA NAFI,YAA KARIMATU, YAA SAIRU * 1,000)
2:( YAA AZIZI, YAA SABUR * 3,000)
3:(YAA HAADI IH DINA SSIRAATAL MUSTTA QEEM * 1,000)
4:( ARAMNASHIRAKA nimesoma 75 fildunia wa akhera wafarakane watajane wenye kwa wenyewe.

No comments:
Post a Comment