I choose to be happy and healthy in my life. Happiness is a pre-direction that an individual makes... Life moves on...Be Smart, and Move UP. God gave you a Personal Destiny. Grab what is yours, and work hard to be Successful....Keep smiling despite of your situation. "KIGOMA KWA BIBI MZAA MAMA" 
SPREAD LOVE NOT HATE WORDS PEACE, LOVE, & RESPECT ".
TANZANI'ANO AMERICAN 
Email: Shalwa2009@gmail.com 
Tell: 1-240-752-4170

Total Pageviews

YALATIFF, I PUT MY TRUST IN YOU AND SEEK YOUR PROTECTION FROM USELESS KNOWLEDGE AND ANY EVIL EYES.
Support America Small Businesses.
Our company's goal is to design clothes which are both functional for the wearer and also aesthetically pleasing. Being a small, uprising company does not stop us from providing our customer with quality merchandise. We design outfits for a wide range such as evening gowns, party dresses, work clothes, daily wear, and diracs/traditional outfits. Additionally we make customized outfits, so if someone has a particular design or fabric they want, just bring it and we will sew it for you at a set price ranging from $80.00 and up. We hope you will find our products useful and that we can help make you the center of attention at your next event!:) 

CLICK THE LINK BELOW TO PURCHASE MY AFFORDABLE, QUALITY, AND ELEGANT WOMEN DRESSES
www.SalhaSaleh.USDJ. MOE AND DJ. DAVID
THE BEST WAMANYEMA WA'TZA DJS IN WASHINGTON D.C/ VA/MD
FOR MORE INFORM CONTACT: 
TELL 202-285-9861

10/30/18

"SIRUDI TENA KWA MGANGA" TZA COMEDY@ Shalwa G...Hahahaaa jamani hii ni comedy ya Tanzania.. hahaaa napenda sana Comedy za Wabongo kwani wana mengi wanagusia ukweli wa mambo. Lakini miye siwalaumu waganga kwani wahenga walinene "wajinga ndio waliwao" mtu akijipeleka kwa mganga mliyeni pesa zake then wapeni mavi ya kuku makavu waka jifushe.. Ha ha haaaa..

Well sitokuwa that cruel nita toa solution ili wanaotaka ndoa wazi pate kila hisi. Na ahito ghalimu pesa bali itaku ghalimu "Iman yako katika moja ya surat katika Juzuu". Chakwanza lazima utafute sababu kwa nini wewe auolewi au auowi. Ukisha pataa sababu utaanza tibu hicho chanzo kwanza harufu mengine ufatia. Kwa wana taka kupata waume au wake, kumbuka kwamba ndoa imeandikwa au pangwa na mwenyewe "ALLAH TAALA" akuchaguliyae ndiye umpataye. 

kuipata sababu au kuijua sababu cha wewe kutoolewa. Mara nyingi ina weza sababishwa na majini mahaba, mizimu ya asili, kufugwa kwa kurogwa, kutupiwa nuksi, kutiwa zongo, na mengi kadhalika. Swali labakia utajuaje sababu ambazo zakukwamisha katika maisha. Sasa hapa itabidi urudi kwenye vitabu vyake " MOLA MUUMBA"
SOMA SURATUL:
(1).YAA NAFI *41
(2). "INNAA- ANZAL- NAAHU *41" 
Muombea Mwenzi Mungu akuonyeshe kwenye ndoto zako chanzo au kikwazo nini? kinacho kusababisha usiolewe?...Now ukipata au jua chanzo nini ukishaoteshwa kwenye ndoto utabidi ufanya matibabu kwa kutumia surat hiyo hiyo
(2) Utaisoma surat "QADER" * 41 somea maji kuondoshwa hivyo vipigamizi.
(3) SOMA  
YAA NAFI *41
SURAT QADER *40
SURAT FATIA *40
SURAT ALAM NASHRAH LAKA *40
"ALLAH UMMA SWALI ALA, MUHAMADIN WAALA AALI MUHAMMADIN KAMA SALLYTAALA" * 111

Maji uliyo yasomea suraa hizo hapo juu uta koga na kunywa kwa kipindi cha siku saba. Imani yako ndio silaa yako... Please usikogee hayo maji chooni. hahaaa usisaau kuni kunialika kwani mwaka hautopinduka inshallah Mwenyezi atakubaliki kuwa katika ndoa.

No comments: