Ijumaa Mubaraka nawa takia kila la kheri katika siku hii ya leo na zinginezo. Katika surah ninazo zitumia sana katika maombi yangu ni surat "Baqara, Fatiha, Ayat Kursi, Ihlas, Falak, Nas". lakini leo Majina 24 ya Allah Taala amboyo yamo katika surat "Baqara" ndio tutayatumia leo.
Utahitaji:
1. Glass moja ya maziwa ya ngombe. itakuwa vizuri kama ukipata maziwa ngombe safi. Yani yale uliogema mwenyewe. Lahaasha una basi chukua maziwa haya unayo nunua dukani.
2. Ya somee majina yaa 24 ya Allah Taala mara 50. au kama waweza andika utayaandika kwa dhafurah katika sahani ya udogo nyeupe kisha utaweka maziwa. Utampa mtoto asubuhi. Hii sio tu kwa watoto ata wewe mwenyewe ukiona bichwa gumu, una sahausahau vitu basi tumia itakusaidia.
Majina ya Mwenyezi Mungu:
"YAA HAMIDU, YAA GHAANIYYU,
YAA WALIYYU, YAA ADHWIIM,
YAA MUHIT, YAA QADIIRU,
YAA ALIIM, YAA HALIIM,
YAA TAWWAABU, YAA BASWIIRU,
YAA WAASIU, YAA BADIIU,
YAA RAUUF, YAA SHAAKIRU,
YAA ALLAH, YAA WAAHIDU,
YAA GHAFUUR, YAA HAKIIM,
YAA QAYYUUN, YAA BAASITU,
LAA ILAAHA ILLAHU, YAA HAYYU,
YAA QAYYUUM, YAA ALIYYU,
Utarudiakwa muda wa siku saba, Inshallah Allah atamjaalia mtoto ufaamu wa kupindukia.

No comments:
Post a Comment