I choose to be happy and healthy in my life. Happiness is a pre-direction that an individual makes... Life moves on...Be Smart, and Move UP. God gave you a Personal Destiny. Grab what is yours, and work hard to be Successful....Keep smiling despite of your situation. "KIGOMA KWA BIBI MZAA MAMA" 
SPREAD LOVE NOT HATE WORDS PEACE, LOVE, & RESPECT ".
TANZANI'ANO AMERICAN 
Email: Shalwa2009@gmail.com 
Tell: 1-240-752-4170

Total Pageviews

YALATIFF, I PUT MY TRUST IN YOU AND SEEK YOUR PROTECTION FROM USELESS KNOWLEDGE AND ANY EVIL EYES.
Support America Small Businesses.
Our company's goal is to design clothes which are both functional for the wearer and also aesthetically pleasing. Being a small, uprising company does not stop us from providing our customer with quality merchandise. We design outfits for a wide range such as evening gowns, party dresses, work clothes, daily wear, and diracs/traditional outfits. Additionally we make customized outfits, so if someone has a particular design or fabric they want, just bring it and we will sew it for you at a set price ranging from $80.00 and up. We hope you will find our products useful and that we can help make you the center of attention at your next event!:) 

CLICK THE LINK BELOW TO PURCHASE MY AFFORDABLE, QUALITY, AND ELEGANT WOMEN DRESSES
www.SalhaSaleh.USDJ. MOE AND DJ. DAVID
THE BEST WAMANYEMA WA'TZA DJS IN WASHINGTON D.C/ VA/MD
FOR MORE INFORM CONTACT: 
TELL 202-285-9861

4/15/18

ALHAMDULILLAH MWENYEZI MUNGU ANILINDIYE MAMA ZANGU MAPACHA NA AWAPE UMLI NA AFAYA NJEMA

Ma' jaa Rehema Gama and her sister Ma'jaa Mama Gama
Alhamdulilah, akuna kitu kikubwa dunia kama furaha ya wazazi. Pia dua ya wazazi kwa watoto ni silaha kubwa duniani.
Majaaliwa na kutokujaaliwa hiyo ni mipango ya Ya Jalali, yeye ndiye anayetupangia position hapa dunia. But, speed recovering inatoka kwenye dua za wazazi. Na dua ya mtoto au watoto kwa wazazi ni baraka kwa mtoto na wazazi.
  Mwanangu Bob Saleh, ombi lake apewe ahulau siku moja Msikitini Adhini Dar-es-salaam, Tanzania. You're wish my son ilisha poelewa and granted kwa baraka zake Yaa Jabari utapata nafasi hiyo ya kuadhini Msikiti siku ya Ijuma. Ishallah. Sijui kwa nini kuna msikiti ambao alikwenda akaomba kuadhini wakampiga rogo rogo nyingi utazani kawaomba kazi. Na ndio msikiti anao salaa zake zote. Mwanangu hupenda kuisoma Surat Ayatu Kursi, siku hiyo alisoma sura hiyo kesha akende zake kulala. Majabu ya Mwezi Mungu nyumba iliwaka moto ya vumba kumi na saba, watu walikata tamaa kuwa kila aliye kuwa ndani ya nyumba kuwa alisha kufa. Moto ulikuwa umepamba kweli kweli. Alhamdulilah, mdogo wake Bob Saleh, kwa jina anaitwa Muhsin alikuwa akilia kwa uchungu akijalibu kuingia kwenye nyumba iliyo iliyokuwa ina waka moto. Watu walikuwa wanamzuia asiende ndani ya nyumba lakini mtoto aliwazidi nguvu, aliingia ndani ya nyumba hiyo moshi umetanda moto umepamba Muhsin akatoka na kaka yake Bob Saleh, Mdogo wake wakike Bi' Salha na Mama yake mlezi. Muhsin aliokoa maisha ya watu watatu siku hiyo. alitoka nao awakuwa na ata kovu kwenye mwili. Nilipomuliza mwanangu Bob Saleh alinijibu, Shangazi sili kubwa uwa napenda kusoma Surat Ayatu Kursi kabla kulala, nayeye anadai alikuwa kwenye usingizi mzito wa akusikia chochote mpaka mdogo wake Muhsin alipomwamsha watoke kwenye nyumba, pia akaenda chumba cha pili kumwamsha mama melezi wake na kidada chake Bi, Salha. Alhamdulilah Mwenyezi Mungu amlindiye wana wake kaka yangu ya Hassan. Ahadulillah Nyumba ilijengeka tena kwa muda wa miezi sita, alichokipanga Mwenyezi Mungu kwa mja wake akuna atakaye tengu au chukua pasina maridhawa yake Yaa Jalali. Mwenyezi amlaze pema peponi Mama Muhsin, aliuitikia wito wa Mola wake baada ya mwezi mmoja kuzaliwa Muhsin. Police walipo mkamata aliye choma nyumba. Ma' Gama aliwambia wamuachiye, Mungu ndiye aliye mpa na ndiye aliyechukuwa. Kila sababu lazima ipatikane chanzo. Mungu amewaipusha wajuu zangu wakatoka salama nami namsamehe wamuache muhusika.
4/13/18

KUKUJIBU SWALI LAKO MR. X REGARDING MY DIVORCE 04/13/2018

first of all salaam, baada ya salam Mr. X kwa jina nakuifadhi. I have nothing to hide kila kitu changu naweka kweupe. Kufumaniwa sija waihi sembuse fumaniwa au fumania.Kuzaa nje ni mezaa baada ya kutengana na my first husband kwa muda wa miaka saba. But, despite the fact alikuwa very supportive na yeye ndiye alinipeleka Hospital nilipokwenda jifungua my second child. Yeye ndiye aliye "kata kitovu cha mwanangu", yeye ndiye alifunga kitanda cha mtoto moreover, yeye ndiye baba mlezi wa watoto wangu. Sisi ni marafi si urafiki wa kuvuana chupi but, decent friendship. Wa pili alikuwa "fake Muslim" wale wanaongia dini kwa sababu alikuwa jail. Nilingundua ni kuwa fake ata surat Alhamdu akujua ku' recite. Yes, nijalibu kumuelimisha kidini lakini ilishindika alikuwa sana kwenye upande wa nguvu za ngiza. Kituko siku nilio mlazimisha kusali niliona vitu vya kanisa alipitiwa na usingi kwenye sijida. Ha ha hahaaa makubwa siku aliyo kwenda kwa mganga wake wa Ki' Nageria, Mungu akawaumbua simu yake ikajipiga kwangu kama Mungu nilitizama nilikuwa kazini sikupokea. Alhamdulia kila kitu walichosema kiliji' record kwenye voice message yangu ha ha ha ha LOL apo ndio alijua mcharuko wa jinn. Kumalizia kukujibu swali lako mimi sipendi watu fake. Nikikujua kwamba ni Nguru Bangi nakukata katika maisha yangu. Kuolewa tena hilo swali siwezi jibu kwa sababu sina uhakika kama nataka kuolewatena. Mumba Mbingu aku umba wanawake wote kuwa katika ndoa. So siwezi jipangia position katika maisha yangu namuachia Allah yeye ndiye anayenipangia kupata au kukosa. Rafiki wa kiume ninao watatu, we are just friends no sukisuki. Nakutakia kila la kheri pia nawatakia wote Ijumaa Mubaka. The update of my divorce hiyo photo hapo chini my X- to be atokuwepo siku ya divorce but, he will be in phone conference during the court section witch is 10 minutes according to the court's documents. So Peace Out

4/2/18

KAMA UMJUI KANDA BONGO MAN BASI JIJUWE WEWE NI WA KIJIJINI

4/1/18

HAPPY EASTER SUNDAY 04/01/2018

 Dear brothers and sisters in Christ, I wish you all today Peace and blessings.


3/26/18

WARNING WANAUME WA SIKUIZI PIA NI WASHIRIKINA

Dear wanawake wenzangu tuwe waangalifu.
 Leo nimeonyeshwa "Tarasimu" nihisome aliye nionyesha dada kutoka Ghambia. Baada ya shoga yake kipenzi kuhugua kwa miezi mitatu kichwa. Kichwa kisicho sikia dawa. Siku ya Ijumamosi kitu kilimwambia achana mtoo wake anao lalia. Ndipo alipokuta hilizi nyeusi katikati. Alicho kifanya dada huyu akampigia shoga yake hapa DMV na visibitishwa picha za kila kitu.

Shoga yake aliniletea picha. Nikamwambia cha kwanza.
akojolee hiyo Hirizi then aifunguye anitumiye picha. Dada huyu alifanya hivyo. Hiyo hirizi imeandikwa katika lugha ya kijini. kwa ushauri niliompa. akachome moto hiyo tarasimu njee ya nyumba. alipochoma karatasi hiyo na kichwa kikapona. Ningependa kuweka picha alizotutumia huyu dada ya tarasimu kutoka Ghambia, lakini anaogopa watu wasije copy na kuumiza watu. Inasikitisha wanawake wenzangu muwe waangalifu dunia ya leo ni tafrani. Uhu ni uchawi wa vitabu.

TAFADHALINI MSIJE JARIBU WAFANYIA WENZENU NI DHAMBI KUBWA NA MWISHO WAKE MOTO HAPA HAPA DUNIANI KWESHO AKHERA TWENDA HESABU.

3/23/18

GOOD MORNING AND IJUMAA MUBARAK

Good Morning,
I decree into your life this morning that as long as there is God in Heaven, you will never know shame. The door of goodness shall not be shut against you. Every satanic power trying to re-design your destiny shall be crushed by Heavenly Hosts. Your testimony shall last forever, Power to survive every storm of life shall rest upon you and your family and the name of the Lord shall be glorified in your life. Enjoy your weekend.