Du'aa kabla ya kuingia choni usome hivi: "ALLAHUMMA- INNII- A- UUDHUBIKA MINAL KHUBTHI- WAL- KHBAAITH.
Ukitaka kuivunja ndoa ya "jini mahaba" hiyo basi tumiya mchanganyiko wa mafuta matatu..1: Zaituni "OLIVE OIL" 2: Abasoda "BLACK OIL" 3: Mkunazi "JOJOBE OIL" Changanya mafuta jipake usiku ukiwa unapanda kitandani kulala. Kingine msiniulize maswali mengi zaidi si pendi kuulizwa maswali ya kishenzi tafadhali siku weka simu yangu au email yangu kutongozwa tafadhalini jamani..Hii ni sadaka niliyo wapa leo. Mwenyezi Mungu Mtukufu Muumba Mbingu Na Ardhi, Amesema:
{Hakika amri yake anapotaka chochote (kile kitokee) ni kukiambia: Kuwa, basi mara huwa.} Surat Yasin:82
Hivyo, Muislam anahitajika kuwa na ufahamu na imani ya kweli na halikadhalika na kufuata masharti ya imani ya kweli na mambo yanayo batilisha toba ili kwamba tuweze kumuabudu Mwenyezi ipasavyo. Dua zako na imani yako ndio ngao yako.
No comments:
Post a Comment