Nita funga kesho kwa maombi yangu. Na kama kuna mtu anata kufunga kesho na ana matatizo yoyote. Dua ya kusoma ni hii down below:
UTASOMA MARA
1. UTAMLANI SHETANI MARA (185)
2: UTAMSALIA MTUME (SAW) (100)
3: UTASEMA (ALAMNASHRA MARA (10) KILA UTAPOFIKA AYA YA SITA UTARUSIA MARA (100) YANI (FAINA MAALI YUSRI YUSRA)
4:SURAT YASIN AYA 58 (SALAAM QAWLAM-MIR RABBIR- RAHIIM) MARA( 7)
Kisha utaomba maombi yako yate ya kheri inshallah Mwenyezi Mungu atakufungulia ulitakalo la kheri Inshallah
inshallah Ijumaa nita toa dua na daya ya kukoga kuonda nuksi kwa wake na waume..Pia nita toa dua ya kutibu (ED) kwa wakaka wenye matatizo ya nguvu za ume. Ajali kazi utoke mara kwa mwaka lakini ikiwa marudio ya ukosefu wangu za siri matatu, una stress , mgonjwa wa kisukari, au mambo ya kiswahili. Nita cover kwenye upande wa mambo ya giza nita toa dua.

No comments:
Post a Comment