Mlisema hayatokuwa sasa yamekuwa. Hongereni
Bi dada, Inshallah naomba invitation letter ya kuingia Tanzania. Sasambu nita sambua mimi mwenyewe . Lazima tujilinde na maadui. Nani adui? ADUI ni mtu yoyote anaye muombea ubaya mtoto wa mwenziye ama awe sheikh, jina mizi, au kisabengo wa mtaa yoyote yule.
Dua ya kujikinga na maadui:
recite this dua 100 times a day kujikinga na maadui
"YAA QAHHAR, YAA MUDHILLU, YAA JAABAARU"
Dua ya Return to sender:
soma dua "HAYYU DAFIU" mara tatu kisha vuta uradi huu mara 635 "YAA HAYYU, YAA QOYYUM, YAA DAFIU, YAA QOHAR"
Ninge penda niwaandikiye hii dua "HAYYU DAFIU" lakini ni ndefu sana kidogo. nilifundishwa na shoga langu la Ki' Ghana.
Dua ya wanawake au wasichana wanao taka ndoa Inshallah Mwenyezi Mungu awape Inshallah.
recite surat 93 "WAA DHUHA WAA LLAYLI ITHA SAJA" soma mara 11 kila siku mpaka jibu lako ulipate inshallah. Kumbuka nia nikitu cha muhimu siku zote. Si tumii uchawi lakini najua kukitumia kitabu kitukufu kujenga ama kubomoa.
No comments:
Post a Comment