Dear wanawake wenzangu tuwe waangalifu.
Leo nimeonyeshwa "Tarasimu" nihisome aliye nionyesha dada kutoka Ghambia. Baada ya shoga yake kipenzi kuhugua kwa miezi mitatu kichwa. Kichwa kisicho sikia dawa. Siku ya Ijumamosi kitu kilimwambia achana mtoo wake anao lalia. Ndipo alipokuta hilizi nyeusi katikati. Alicho kifanya dada huyu akampigia shoga yake hapa DMV na visibitishwa picha za kila kitu.
Shoga yake aliniletea picha. Nikamwambia cha kwanza.
akojolee hiyo Hirizi then aifunguye anitumiye picha. Dada huyu alifanya hivyo. Hiyo hirizi imeandikwa katika lugha ya kijini. kwa ushauri niliompa. akachome moto hiyo tarasimu njee ya nyumba. alipochoma karatasi hiyo na kichwa kikapona. Ningependa kuweka picha alizotutumia huyu dada ya tarasimu kutoka Ghambia, lakini anaogopa watu wasije copy na kuumiza watu. Inasikitisha wanawake wenzangu muwe waangalifu dunia ya leo ni tafrani. Uhu ni uchawi wa vitabu.
TAFADHALINI MSIJE JARIBU WAFANYIA WENZENU NI DHAMBI KUBWA NA MWISHO WAKE MOTO HAPA HAPA DUNIANI KWESHO AKHERA TWENDA HESABU.

No comments:
Post a Comment