*ANGALIA LIVE* safari ya mwisho ya mpendwa wetu Emmanuel Bandawe Ijumaa 22 Mei, 2020
Saa 9am ET/8am C/ 6am PT/ saa kumi jioni ya Tanzania, Saa tisa mchana Ujerumani/Uswiss, Saa nane mchana Uingereza.
Kwa nchi nyingine tafadhali angalia itakuwa saa ngapi kwako.
Ratiba ya misa itatumwa baadae. Wimbo wa pamoja utakuwa " Amazing Grace" (unapatikana mtandaoni)
Misa itaanza saa tatu kamili asubuhi.
bofya link hapo chini
http://www.stranofeeley.com/obituaries/permalink/9511021/LTWebcast
Kutumia link ya facebook ya Jumuiya ya Watanzania ATC/ DMV bofya
https://www.facebook.com/groups/1593683087387879/?ref=share
Heshima ya mwisho kwa njia ya "mobile visitation" itaanza 9:45 am EST/ 8:45 am C/ 6:45 PT, saa kumi na dakika arobaini na tano jioni muda wa Tanzania
Naomba ukipata hii message uwatumie na wenzio
Mungu ailaze roho ya Emmanuel mahali pema peponi.
Asanteni
Secelela Malecela, MD
( Kamati ya Mazishi)
No comments:
Post a Comment