Salaam, japokuwa nilikemewa nisirudiye ndoto za kuwa nina wafaidisha maadui zangu. Leo nawa wekeeni wazi hakuna adui yangu atakaye faidika kwa ndoto zangu believe me. Ndoto niliyoota nimesafiri mpaka Beijing, China kwenye kisiwa alichofungwa cousin wangu. nikaingia kwenye Gereza na kukutana naye.Nikamshika mkono wa kulia tukaanza kukimbia kwenye bahari usiku.Japo kuwa kulikuwa na wanajeshi ambao walikuwa wanatushambulia kwa risasi akuna ata moja iliyo tupata. Tukaingia kwenye military boat, tukafika kwenye kisiwa kingine hapo tuka teremka kwenye boat tukiwa pekupeku bila viatu. Cha ajabu kile kisiwa kika gawanyika pande mbili pande moja tuliokuwepo na upande wa pili kulikuwa na nyumba tatu zote zilizama slow down kwenye bahari. Pande tuliokuwa tuko watu wengi walikuwa wakipiga makelele stop, stop, stop, stop, kisiwa kilikuwa kina ondoka kwenye maji giza, tulipita majumba marefu marefu kisiwa kilikuwa kina sukumwa na maji, then kisiwa kilikuwa kinaelea maji yana sukuma kwa kasi. Kipande cha kisiwa tulicho kuwepo kikazama kwenye maji ya bahari. Sote tukazama lakini kichwa changu akikutumbukia kwenye maji. Sikumua chia cousin wangu Bin Mende tumeshikana mikono ya kulia. Yale maji ya bahari yalikuwa kama kweli ya vuguvugu la joto. Mwanaume wa Kiharabu kavaa joo jeupe akatoke akisoma nikaanza kufatisha alichokuwa akisema:
"A'OOTHU BILLAHI MINASHYTAANIR RAJEEM. ALLAHU LAA 'ILLAAHA ILLAA HUWAL HAYYUL QAYYOOM, LAA TA KHUTHUHU SINATUN WA LAA NAWAM, LAHU MAA FISAMAWATI WA MAFIL ARDHI MAN THAI LATHEE YASHAFAU INDAHU , ALIYYULL ADHEEM * (7)
Dua yangu kwa my cousin Khadija Mende:
Yaa Alah, naomba msama mimi na wazazi wangu na cousin wangu khadija. Kwa yote tulio yatenda tulio kusudia na tulioyatenda atukusudi. Yaa rabi, isifike ramadha Khadija ipatikane sababu ya kuachiwa akafunge Mwezi Mtukufu Dar na mwanaye kipenzi. Yaa Jabari, Khadija yatima. Niko chini ya minguu yakoYaa Rabi, grant my dua, grant my dua. Amen
Leo Ijumaa as I am burning seven white candles on your behalf Khadija. Nimechovya mikono yangu miwili kwenye bakuri la maji ya dham dham water. Nimefunga black thread kwenye mkono wangu wakulia on your behalf nikimaliza dua nikiifungua nawe ufunguke. I am bring you forth from the dark and hold you to the light. let not your past control your present. Let not you're future be as dark as night. As I meet and great you with open arms and move you back into the light in my dream. Dear Yaa Jabari, say unto the Judge to stand beside my cousin Khadija and make war against her enemies who threaten to spill her life's blood. Yaa Azizi, intercede for her. Bring peace and comfort and let my cousin Khadija breathe the air of freedom. Alhamdullila asante Baba uliye mbiguni kwa kunikubalia ombilangu Ijuma hii. Amen thuma Amen
No comments:
Post a Comment