ALHAMDULILLAH...Mwenyezi ndiye wa kushukuriwa kwanza na pia alitakalo Mola ndilo uwa akuna binadamu ambaye ataweza tengua alitakalo Allah Jallali. Mwenyezi Mungu amesema niombeni na pia mjishuhulishe nitawapeni. Alhamdulilah, kwa sala za wa' Tanzania ndani ya nchi na nje ya nchi, pia shukran kwa wote waliofunga siku ya Thursday 10/18/2018 na kumuomba muhumba Mbingu kurudishwa kwake. Bila kuwa sahau Jeshi la Police Dar-Es-Salam, Tanzania kwa kazi nzito walio ifanya mpaka kurudishwa kwake Mohhamed Dewji. Alhamdulillah Yaa Jabali umemstiri na hili, mstiri na mengi mengine. Amin Thuma Amin
"INNAMAAA AMRUHUUU IZAAA ARAADA SHAY-AN ANYYAGUULA LAHUU KUNFAYAKUUN *100".= "HAKIKA AMRI YAKE ANAPOTAKA KITU KIWE NI KUKIAMBIA KUWA KIKAWA"
"INNAMAAA AMRUHUUU IZAAA ARAADA SHAY-AN ANYYAGUULA LAHUU KUNFAYAKUUN *100".= "HAKIKA AMRI YAKE ANAPOTAKA KITU KIWE NI KUKIAMBIA KUWA KIKAWA"
No comments:
Post a Comment