Dua ni silah ya mumini. Leo na furaha nita toa dua ya kufunguwa vifungo, macho ya husda, kufunga midomo ya watu wanao kusema viba. Dua hii husomwa Thursday night kuamkia Friday nikimaanisha milango ya 11 pm to 12 midnight na kuendelea. First, una weka security uta vuta uradi " Mlani shetani ×86, Astaghfiru ×100, Mswaliye Mtume (S.A.W)×100, Yaa Allahu ×100, Yaa Mumitu ×100"... si lazima bali waweza choma ubani. Mimi upenda choma udi unapo soma dua ujui nani ana attend katika dua yako. Laitani unafikiri upeke yako believe me wako watakao kuja kukusaidia na wengine kuvuruga.
Dua yenyewe ni Surati Yasini utaisoma ×7. Kila utapo fika aya Mubiin uta vuta uradi huu (Aya ya 58 katika Sura Yasini ×7 na Surah Fatiah ×40. Mubiin ziko sabaha katika Surat Yasini. Uta muomba Mwenyezi Mungu akufunguye na kuondosha nguvu za giza kwa kupitia sura yake yasini. Usi sahau kikombe cha maji na tembe moja ya chumvi. Dua utasomea maji utakunywa na kujifuta uso seven days ou three days. Utumiye mdomo wako kumuomba Mola. Inshallah Mwenyezi Mungu atawaafu ata kama mtu alichukua, chafufua, au kutumia nyota yako utafunguka. Fata langu neno sio tabia yangu kesho kila mtu atajibu alicho kichuma duniani. Akuna wa kukuombea jiombee wewe mwenyewe.
No comments:
Post a Comment