Mwanadamu ata siku moja usi mlaumu Muumba kwa kile ambacho ajakujaali nacho katika maisha. Iko sababu kwanini amekunyima kifanyiye kazi alicho ku' blessed nacho. Ishi maisha yako na kitunuku alicho kujalia nacho. Surat Yasin aya 58 ina fungua na kuondosha husda za wanadamu, na vitimbi vya shetani. Itumiye huone majabu yake. Uradi huu kwanza tia nia kisha uvute uradi huu kuanzia milango 3:30 am to 4:30 am.
"SALAAM!... QAWLAM-MIR RABBIR-RAHIIM. ×1479"
Akupendaye ni yule anayekupa maadili mema nawapenda my blog viewers. Kheri ya Mwaka Mpya "Happy New Year and be blessed" |
No comments:
Post a Comment